TAMWA YAWAPONGEZA WANAWAKE WALIOJITOKEZA KUWANIA UONGOZI UCHAGUZI WA OKTOBA 29
TAMWA YAWAPONGEZA WANAWAKE WALIOJITOKEZA KUWANIA UONGOZI UCHAGUZI WA OKTOBA 29 Dar es Salaam, Septemba 10, 2025.Chama cha WanahabariWanawake Tanzania (TAMWA) kinatoapongezizadhatikwawanawakewotewaliojitokezakuwanianafasizauongozikuanziangaziyaudiwani, ubungehadiuraiskatikamchakatowa uchaguzimkuu wa Oktoba 29, 2025. Mchakatowauteuzinauchukuajifomuumeonyeshaarinamwamkomkubwa wa wanawakekushirikikwenyenafasimbalimbalizauongozinchini. KwamujibuwatakwimuzaUlingoWanawake, jumlayawanawake 231 walichukuafomuzaubungekupitia CCM, nakatiyao 25 waliteuliwanachama, nanewakiwaniwapya. Aidha, mwakahuuvyamavingivyasiasavimeongezaidadiyawanawakewagombeawenzakatikanafasiyauraisnamakamu wa Rais. Kwanamnayakipekee, TAMWA inampapongezizapekeeMheshimiwaSamiaSuluhu Hassan, aliyeteuliwana CCM kuwamgombea wa kwanza mwanamke wa uraiskatikahistoriayachamatawala.Hiinihatuakubwanayakihistoria, inayoashiriamapinduzinamwelekeompya wa ushiriki wa wanawakekatikauongozi wa juunchini. PiatunawatambuawanawakewenginewalioteuliwakugombeauraispamojanawagombeawenzaakiwamoMwajumaNotyMiramboaliyechukuafomuyakuwaniauraiskupitia Chama cha Union for
TAMWA SEKRETARIATI MPYA MTANDAO WA USHIRIKI WA WANAUME NA WAVULANA KATIKA MASUALA YA JINSIA (MEN ENGAGE TANZANIA – MET)
TAMWA SEKRETARIATI MPYA MTANDAO WA USHIRIKI WA WANAUME NA WAVULANA KATIKA MASUALA YA JINSIA (MEN ENGAGE TANZANIA – MET) Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA)
TAMKO LA ASASI ZA WANAWAKE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
TAMKO LA ASASI ZA WANAWAKE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Dar Es-Salaam, Oktoba 23, 2025. Wakati Watanzania wakielekea katika tukio la kikatiba la kupiga kura mnamo Oktoba
- January 1, 2026
Be Safe Online – Information Tool Kit 2025
TAARIFA YA POLE KWA TAIFA
TAARIFA YA POLE KWA TAIFA Dar es Salaam, Novemba 5, 2025.Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kinatoa pole za dhati kwa Watanzania wote waliopata madhila
TAMWA yazindua mradi wa ‘Sauti Zetu’
TAMWA yazindua mradi wa ‘Sauti Zetu’ Dar es Salaam, Novemba 14, 2025. Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani(GIZ) leo
